Yanga yashusha kifaa hatari afrika nzima

Yanga yashusha kifaa hatari afrika nzima

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
1,885
Reaction score
4,012
Ile team maskini lakini jeuri yenye makazi yake kule dimbwini imeshusha kifaa yaani mtambo hatari na jana iliufanyia majaribio na kifaa hicho kikafunga goal lililotenganisha pande mbili yaani yanga na ruvu
kwa jina kinaitwa Ninja
20769932_707753822744241_6073136789438461146_n.jpg
 
Ni suala la muda tu. Huyo dogo anaweza.
Hakutakuwa cha Boko wala Okwi hapo. Ni buti kwa kwenda mbele tu.
Kuna wakati atasababisha penati lakini haitupi shida. Baadaye ata settle tu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] SokA la Bongo hovyo sana
 
Huyo Ninja anacheza mpira kama Sarakasi.
Hajui mpira wa huku unatofautiana na ule wa visiwani.
Kocha anaweza kumrekebisha
 
Back
Top Bottom