Yanga yasonga mbele kwa mabao 14-1

Yanga yasonga mbele kwa mabao 14-1

Basi haya matokeo yawe consistent........! tuone hivyo hivyo na kwa Mafaro!
 
Hongera Yanga na mzidi kufanikiwa. Lakini mpunguze maneno machafu mkishinda nawengine wawe huru.
 
Nina wasiwasi huu ushindi tulioupata KAGODA FC ndio watakaoupta AL AHLY dhidi yetu
 
hongereni wana jangwani.....14 ??duhh hiyo ni nomaaa
 
Back
Top Bottom