Yanga yatambulisha App na Tovuti mpya

Yanga yatambulisha App na Tovuti mpya

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2021
Posts
577
Reaction score
2,595
Klabu ya Young Africans SC imezindua App kwaajili ya kutoa taarifa zake ikiwemo, historia, habari za michezo, matukio na takwimu za mambo mbalimbali kuhusu Yanga.

Uzinduzi huo umefanyika leo katika Hotel ya Serena, Dar es salaam ukiongozwa na Rais wa Klabu hiyo Eng. Hersi Said
 
Wakati Simba inazindua app yao wao walikuwa wanakejeli. Yanga ni idiots
 
Wakati Simba inazindua app yao wao walikuwa wanakejeli. Yanga ni idiots
App Yanga walikua nayo na tulikua tunalipia 2000 kwa mwezi toka kipindi cha kina Dismas ten labda tuseme sasa imekua rasmi.
 
App Yanga walikua nayo na tulikua tunalipia 2000 kwa mwezi toka kipindi cha kina Dismas ten labda tuseme sasa imekua rasmi.
wenzio wa Uto wengi walikua hawajui kama ipo ndo maana walikua kutwa kuchwa wanabeza App ya Simba.
 
Klabu ya Young Africans SC imezindua App kwaajili ya kutoa taarifa zake ikiwemo, historia, habari za michezo, matukio na takwimu za mambo mbalimbali kuhusu Yanga.

Uzinduzi huo umefanyika leo katika Hotel ya Serena, Dar es salaam ukiongozwa na Rais wa Klabu hiyo Eng. Hersi Said
View attachment 2369521
Hapa nawapa kongole timu yangu pendwa kabisaa ya wananchi!!hata mm nilikua naona uvivu kununua sijui card sijui vitu gani!lkn hapa nabofya tu chap mambo yanaenda nakuwa mwanachama hai kabisaa!!
 
Wameiga kutoka simbaaaaaaaaaaaaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Klabu ya Young Africans SC imezindua App kwaajili ya kutoa taarifa zake ikiwemo, historia, habari za michezo, matukio na takwimu za mambo mbalimbali kuhusu Yanga.

Uzinduzi huo umefanyika leo katika Hotel ya Serena, Dar es salaam ukiongozwa na Rais wa Klabu hiyo Eng. Hersi Said
View attachment 2369521
Wazee wa kucopy and paste!
Sio mbaya sana!
Ila muwe mnaishukuru Simba hata kiunafiki sio mbaya!
 
Utopolo, mna kazi!
Kwani sio kweli timu ilitoka kwenye ubavu wa Yanga (Adam) na kujiita Queen (Hawa)?
Baadae jina mkaliona noma mkaanza kubadisha badilisha kwenda na wakati.
Na wakati umefika sasa wa kubadisha jina muendane na mazingira halisi ya mzee wa kutetema.
 
Wazee wa kucopy and paste!
Sio mbaya sana!
Ila muwe mnaishukuru Simba hata kiunafiki sio mbaya!
Makolo bhana...

Kwahiyo leo hii mtu au taasisi ikizindua app inakuwa wamewaiga Makolo?!

FYI, Yanga walikuwa na app tangu kitambo na tulikuwa tunalipia Sh 2000/= kwa mwezi. But seems kulikuwa na ujanja ujanja fulani... seems like app ilikuwa inaendeshwa na third part ambayo ilikuwa imeingia mkataba na Yanga!!

Yanga wakavunja ule mkataba, na ile kampuni ikaipeleka Yanga mahakamani wakidai kulipwa pesa kutokana na Yanga kuvunja mkataba!!
 
Waliponda simba day wakaiga
Wakaponda mfumo wa mabadiliko wakaiga
Wakaponda app wakaiga
Yanga wamejaa vilaza watupu wao wanawaza wataenda kwa mganga gani ili washinde tar 23.
Hivi una habari Yanga ndio walianza ku-initiate issue ya mabadiliko pengine hata kabla hujazaliwa?!

Kama si ujinga wa wanachama waliokuwa wanadhani soka inaweza kwenda bila pesa, Yanga ingekuwa imekamilisha mabadiliko tangu miaka ya 90 enzi za akina Castro!

Hebu jisomee sehemu ya habari hii ya Mwanaspoti

Wafadhili hao walikuwa wakipinga mipango ya Yanga kutaka kugeuzwa kuwa Kampuni na kuibua mgogoro mkubwa uliosababisha aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Augustine Lyatonga Mrema kuingilia kati kuiokoa klabu hiyo.
Sasa jiulize wakati Mrema akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Da' Barbara alikuwa na umri gani!!!

Kwahiyo ni kichekesho kudai eti Yanga imeiga mabadiliko kwa Makolo! And FYI, hata App na websites zilikuwepo sema zilikuwa subcontracted, na mkataba ukavunjwa!
 
Back
Top Bottom