Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 577
- 2,595
App Yanga walikua nayo na tulikua tunalipia 2000 kwa mwezi toka kipindi cha kina Dismas ten labda tuseme sasa imekua rasmi.Wakati Simba inazindua app yao wao walikuwa wanakejeli. Yanga ni idiots
wenzio wa Uto wengi walikua hawajui kama ipo ndo maana walikua kutwa kuchwa wanabeza App ya Simba.App Yanga walikua nayo na tulikua tunalipia 2000 kwa mwezi toka kipindi cha kina Dismas ten labda tuseme sasa imekua rasmi.
Hapa nawapa kongole timu yangu pendwa kabisaa ya wananchi!!hata mm nilikua naona uvivu kununua sijui card sijui vitu gani!lkn hapa nabofya tu chap mambo yanaenda nakuwa mwanachama hai kabisaa!!Klabu ya Young Africans SC imezindua App kwaajili ya kutoa taarifa zake ikiwemo, historia, habari za michezo, matukio na takwimu za mambo mbalimbali kuhusu Yanga.
Uzinduzi huo umefanyika leo katika Hotel ya Serena, Dar es salaam ukiongozwa na Rais wa Klabu hiyo Eng. Hersi Said
View attachment 2369521
unge elewa maana ya neno kuzindua usinge toa hizo pumbaWakati Simba inazindua app yao wao walikuwa wanakejeli. Yanga ni idiots
Waliponda simba day wakaigaWameiga kutoka simbaaaaaaaaaaaaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wazee wa kucopy and paste!Klabu ya Young Africans SC imezindua App kwaajili ya kutoa taarifa zake ikiwemo, historia, habari za michezo, matukio na takwimu za mambo mbalimbali kuhusu Yanga.
Uzinduzi huo umefanyika leo katika Hotel ya Serena, Dar es salaam ukiongozwa na Rais wa Klabu hiyo Eng. Hersi Said
View attachment 2369521
Yanga 1935 Simba 1936 nani kamcopy mwenzake?Wazee wa kucopy and paste!
Sio mbaya sana!
Ila muwe mnaishukuru Simba hata kiunafiki sio mbaya!
Simba 1971, 1936 ni Queens FC baadae Eagle halafu Sunderland mwisho wataiita Mayele's Wife SC.Yanga 1935 Simba 1936 nani kamcopy mwenzake?
Utopolo, mna kazi!Simba 1971, 1936 ni Queens FC baadae Eagle halafu Sunderland mwisho wataiita Mayele's Wife SC.
Yanga Oyeeeee......Klabu ya Young Africans SC imezindua App kwaajili ya kutoa taarifa zake ikiwemo, historia, habari za michezo, matukio na takwimu za mambo mbalimbali kuhusu Yanga.
Uzinduzi huo umefanyika leo katika Hotel ya Serena, Dar es salaam ukiongozwa na Rais wa Klabu hiyo Eng. Hersi Said
View attachment 2369521
Kwani sio kweli timu ilitoka kwenye ubavu wa Yanga (Adam) na kujiita Queen (Hawa)?Utopolo, mna kazi!
Makolo bhana...Wazee wa kucopy and paste!
Sio mbaya sana!
Ila muwe mnaishukuru Simba hata kiunafiki sio mbaya!
Hivi una habari Yanga ndio walianza ku-initiate issue ya mabadiliko pengine hata kabla hujazaliwa?!Waliponda simba day wakaiga
Wakaponda mfumo wa mabadiliko wakaiga
Wakaponda app wakaiga
Yanga wamejaa vilaza watupu wao wanawaza wataenda kwa mganga gani ili washinde tar 23.
Sasa jiulize wakati Mrema akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Da' Barbara alikuwa na umri gani!!!Wafadhili hao walikuwa wakipinga mipango ya Yanga kutaka kugeuzwa kuwa Kampuni na kuibua mgogoro mkubwa uliosababisha aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Augustine Lyatonga Mrema kuingilia kati kuiokoa klabu hiyo.