Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Hiyo jezi ni maghorofa ama?
Mpira una matokeo ya kuumiza, kuanzia ndani ya uwanja mpaka nje. Nilitegemea benchi la ufundi, lingerudi kama lilivyo 🤔
ni bonge la kochaTimu ya soka ya Yanga imemtambulisha Kocha Msaidizi kutoka Senegal anayeitwa Moussa Ngao. Kwa utambulisho huu ni wazi kuwa Cedric Kaze hatakuwa sehemu ya benchi la Ufundi la Yanga.
Binafsi, kikubwa wametu hakikishia ushindiHiyo jezi ni maghorofa ama?
Mpira una matokeo ya kuumiza, kuanzia ndani ya uwanja mpaka nje. Nilitegemea benchi la ufundi, lingerudi kama lilivyo 🤔
Kaze na Nabi wamekutana Yanga, advantage Nabi anaongea Kifaransa na Kaze anaongea kifaransa na wachezaji muhimu wa Yanga ni Wacongo nao wanaongea kifaransa pia.Kaze yupo na Nabi ndio mtu wake
@Bantu Lady umtamu sana,ukivaa na huo uzi wa mwananchi utakuwa Asali kibisa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo jezi ni maghorofa ama?
Mpira una matokeo ya kuumiza, kuanzia ndani ya uwanja mpaka nje. Nilitegemea benchi la ufundi, lingerudi kama lilivyo [emoji848]
Cocastic weeeee!.Ooooh kumekuchaaaa!!