Yanga yatambulisha Kocha Msaidizi

Yanga yatambulisha Kocha Msaidizi

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Timu ya soka ya Yanga imemtambulisha Kocha Msaidizi kutoka Senegal anayeitwa Moussa Ngao. Kwa utambulisho huu ni wazi kuwa Cedric Kaze hatakuwa sehemu ya benchi la Ufundi la Yanga.

1689109014588.png
 
Kaze yupo na Nabi ndio mtu wake
Kaze na Nabi wamekutana Yanga, advantage Nabi anaongea Kifaransa na Kaze anaongea kifaransa na wachezaji muhimu wa Yanga ni Wacongo nao wanaongea kifaransa pia.

Kaze yupo zake Canada, sasa hivi kila mtu anatafuta chaka lake, mambo ya benchi lote la Nabi alilokuwa nalo Yanga Kaizer Chief walikataa na timu zipo kwenye pre season, imekula kwao.
 
Hiyo jezi ni maghorofa ama?
Mpira una matokeo ya kuumiza, kuanzia ndani ya uwanja mpaka nje. Nilitegemea benchi la ufundi, lingerudi kama lilivyo [emoji848]
@Bantu Lady umtamu sana,ukivaa na huo uzi wa mwananchi utakuwa Asali kibisa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Namtakia heri na baraka tele kwenye majukumu yake mapya. Ingawa sina wasifu wowote ule kumhusu yeye.
 
Back
Top Bottom