Yanga yatambulisha nguo mbalimbali zenye nembo yao, mashabiki kazi kwenu kuwaunga mkono

Jezi mtaani hakuna, mshakurupuka na mengineπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
 
Hapo vipi Katika pita pita nimekutana na hili andiko mahali ikabidi ni copy nakupaste.

Eti Lofa kila rangi anavaa,hana rangi maalum.

Ambapo hizi ni miongoni ya mavazi mapya ya Yanga


 
Halafu wakijitokeza wadhamini wa ligi wenye logo nyeupe wanaigomea logo yenye hiyo rangi.Hakika utopolo ni utopolo.
 
mpira ni serious business
rangi has nothing to do a heni uswahili wa kishamba
 
Nguo mbali mbali au sweta? Any way utopolo ni utopolo tu hata mtoe na madela 19/10 kipigo kipo palepale safar hii hatukubali unyonge
 
Hivi hiyo timu inaitwa

Yanga Africans
Au
Young Africans
Au
Yanga Sports Club
Au
Young Sports Club

Au vyote kwa pamoja ?
 
Ubunifu mzuri sana huu. 5imba lazima waige hii.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…