Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Mi natengeneza hela wao wananuka vikwapa...Makoti fc
Kweli utopolo ni utopolo,Kwani nyekundu inamilikiwa na nani hadi mkakataa logo halisi ya NBC?Rangi nyeupe haina mmiliki. Malalamiko fc punguzeni vijiba
Kweli utopolo ni utopolo,Kwani nyekundu inamilikiwa na nani hadi mkakataa logo halisi ya NBC?
Mangungu amesema vitabu vya historia vimeandika yanga imeanzishwa na Malofa,rejea kauli ya Mzee Magoma piaHalafu wakijitokeza wadhamini wa ligi wenye logo nyeupe wanaigomea logo yenye hiyo rangi.Hakika utopolo ni utopolo.
Amepona unyama sanaBaleke model wa timu
Rangi nyeupe na rangi nyeusi ni neutral. Simba wanadhani kuwa ni rangi yao ilihali hiyo ni Neutral. Barua official zote zinaandikwa kwenye karatasi nyeupe kwa kutumia wino mweusi.Rangi nyeupe mmeanza kuikubali mkimaliza mtafute na nyekundu
Ulivaa?Nimekumbuka yale madela
Yote ni sawa kuna shido?Hivi hiyo timu inaitwa
Yanga Africans
Au
Young Africans
Au
Yanga Sports Club
Au
Young Sports Club
Au vyote kwa pamoja ?
Seems like imekuuma sanaLofa kila rangi anavaa hana rangi maalum