Yanga yatangaza Viingilio vya Match yake dhidi ya Al Ahly, thamani ya KADI ya Uanachama inaanza kuonekana

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Mabingwa wa Kihistoria Nchi Vijana wa Africa,Ama Young Africans kwa Lugha ya King Charles wametangaza viingilio vya Match yake dhidi ya Vijana kutoka kwa Farao..Al Ahly Sc.
Hapa walio na kadi ya Uanachama wanaanza kula Matunda na Club itavutia sana watu wengi kuchukua kadi za uanachama Hai.

#The SUN is YELLOW...The Land is GREEN..The Colors of the UNIVERSE!!
Screenshot_20231124-185214_X.jpg
 
Nguvu yakununua tiket itapungua baada ya cr beluizdad kuwatwanga 2 mtungi leo...alafu al ahly hawezi kuja tanzania mara mbili akatoka patupu nawao lazima wawarambe 2 mtungi...na leo kama sio aucho au lomalisa basi ni mwanyeto lazima ale red card! Naniwaona kabisa waarabu wakipata penalt mapema tu
 
Dua la kuku.......
 
Back
Top Bottom