Yanga yatanguliza mashushu Sudan, mmoja kati ya walioenda ni Mwakalebela

Bro nlisha kukataza kuni quote mambo yako ya kijinga please respect me
yaani unanipangia nani wa ku m quote kwenye huu uzi niliouanzisha mimi kwa kutumia vyanzo vyangu vya ki intelejensia? GERRAR HERE idiot, dunderhead kabisa , jingaz , acha ku comment kwenye huu uzi
 
Mkuu kuna ujinga unaandikwa humu unatia hasira sana.
usikasirike mkuu toa tu elimu kwa wajinga wasiojua ukubwa wa dar young african kuanzia uwekezaji, quality ya wachezaji na ukubwa wa profesa nabi, teams zenye level za yanga ni kama 4 tu
 
Yanga SC ni timu kubwa sana wakati timu nyingine hubabaika sana na kutanguliza mashushushu wiki 2 kabla wao wanapeleka baada ya mechi ya kwanza, huo ndiyo ukubwa wa timu inayojiamini. Yaani kiwango cha Mamelodi, Raja, Wydad.

Sasa zikiwa zimebaki siku 5 ndipo Yanga wamepeleka mashushushu wawili Khartoum kuweka mambo sawa kabla ya kwenda kupindua meza kwa kuwachapa timu ndogo ya Al Hilal mabao 2-0.

Anayebisha abishe tu lakini Al Hilal kazidiwa kifedha na Yanga, kazidiwa ubora wa wachezaji, kazidiwa ubora wa benchi la ufundi.

Mwakalebela na shushushu mwenzake wanatarajiwa kufanya kazi nzuri tofauti na iliyofanywa na shushushu Senzo aliyetangulizwa kule Rivers State
Nigeria akiambatana na mpishi wakafanikisha kuweka sawa mambo ya ugali na dagaa wakisahau mambo mengine hadi Jenerali Bugatti alipoingilia kati pale uwanjani na kuwaambia wachezaji "ZIS IS WAR ZIS WAR, WAR IS ZEA".

***Hii picha haihusiani na mashushu bali ni kikosi kazi cha kushughulika na kesi za Yanga huko CAS na FIFA na huwa kinashindwa kesi kila siku! Hapa kilikuwa mubashara mtandaoni kikipambana na wakili msomi Bm3 wakaangukia pua

View attachment 2383545
hongera yao mashushu wpge kazi ss
 
🤣🤣🤣🤣😳😁
Yaani Mwaka Lebela shushushu. Kweli Uto mko fit
 
Wamepangiwa Al hilal tu.wanalia Lia watawaweza mamelod,raja Casablanca na wydad?
Al ahly?
 
njaakalihatari kuna Utopolo amebeba mada yako kama ilivyo akaipeleka kule Istagram kwa page yake,imebidi nicheke.Ni kwamba hata hajui kama unafanya sarcasm kwa Utopolo,yeye kabeba kama ilivyo[emoji3]
 
Back
Top Bottom