Mtoto wa Nyerere Senior Member Joined May 21, 2021 Posts 129 Reaction score 689 Jun 27, 2021 #1 Kumekucha yanga imetenga billion 7 kufanya usajili msimu ujao Pia wametenga mabilioni kujenga viwanja viwili vya mazoezi, wenye nyasi bandia na nyasi za kawaida Kigamboni. Timu ya wananchi hiyo Mimi sina neno
Kumekucha yanga imetenga billion 7 kufanya usajili msimu ujao Pia wametenga mabilioni kujenga viwanja viwili vya mazoezi, wenye nyasi bandia na nyasi za kawaida Kigamboni. Timu ya wananchi hiyo Mimi sina neno
Hadrianus JF-Expert Member Joined Feb 19, 2020 Posts 2,112 Reaction score 5,229 Jun 27, 2021 #2 Usajili haijatengwa Bilioni 7, tatizo Watanzania wengi hampendi kuelewa ila mnapenda kusikiliza. Sent using Jamii Forums mobile app
Usajili haijatengwa Bilioni 7, tatizo Watanzania wengi hampendi kuelewa ila mnapenda kusikiliza. Sent using Jamii Forums mobile app
M mbingunikwetu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 13,897 Reaction score 18,477 Jun 28, 2021 #3 Mtoto wa Nyerere said: Kumekucha yanga imetenga billion 7 kufanya usajili msimu ujao Pia wametenga mabilion kujenga viwanja viwili vya mazoezi, wenye nyasi bandia na nyasi za kawaida kigamboni. Timu ya wananchi hiyo Mimi sina neno Click to expand... Hizo b7 ziko kwenya akaunti ya yanga au?? Umaskini Wa mawazo no mbaya mno!!
Mtoto wa Nyerere said: Kumekucha yanga imetenga billion 7 kufanya usajili msimu ujao Pia wametenga mabilion kujenga viwanja viwili vya mazoezi, wenye nyasi bandia na nyasi za kawaida kigamboni. Timu ya wananchi hiyo Mimi sina neno Click to expand... Hizo b7 ziko kwenya akaunti ya yanga au?? Umaskini Wa mawazo no mbaya mno!!
Gamaha JF-Expert Member Joined Jul 17, 2008 Posts 3,915 Reaction score 5,038 Jun 28, 2021 #4 Kipindi cha usajili na mwanzo wa ligi ndio kipindi pekee wana Utopolo wanakua na furaha..
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,284 Reaction score 24,047 Jun 28, 2021 #5 Labda Bilioni saba za Zimbabwe.
K Katomlb Member Joined Apr 9, 2021 Posts 52 Reaction score 64 Jun 28, 2021 #6 bajej ni 7b ya mwaka 21/22 kati ya hiyo mishahara ni 4. Kitu kuna bonasi kuna usajil 2 b .sijui shida ni nin au we ndo mchambuzi wa timu
bajej ni 7b ya mwaka 21/22 kati ya hiyo mishahara ni 4. Kitu kuna bonasi kuna usajil 2 b .sijui shida ni nin au we ndo mchambuzi wa timu