John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
Kwa mujibu wa report za FIFA za hivi karibuni kuhusu gharama za usajili na uhamisho wa wachezaji, imeonyesha vilabu vikubwa kama Al Ahly, Mamelodi, Pyramids vikiendelea kuonyesha sababu ya wao kuwa bora huku zikiendelea kuwekeza katika kununua wachezaji wenye ubora ili kuendelea kusalia katika ubora wao.Hongera kwa vilabu hivi vikubwa, Hongera Tanzania.