John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
Itakuwepo mkuu' Nadhani kwenye nafasi ya 19, kwa usajili mkubwa walioufanya kama David kameta Duchu, Chilunda, Hussein Kazi ambao wamecost mabillioni ya pesa hawawezi kukosekana, #GuvuMoyaHiayo Simba iko wapi? Halafu mbona hawajainisha fees
Angalia vizuri mkuu utaonaHiayo Simba iko wapi? Halafu mbona hawajainisha fees
πππNiliposoma heading nilikuja na moto wa kukiwasha, ila nimeelewa unafanya dhihaka ππ
Ngoja tuwasubiri mbumbumbu.
Mkuu ina maanq Duchu humuoni? Chezaji la kimataifa amecost 3.8 bilionYaani kumbe umekisia tu na sio kweli kwamba wameorodheshwa hiyo nafasi!!π
Makolo na uongozi wenu hamna tofauti.
..Mkuu ina maanq Duchu humuoni? Chezaji la kimataifa amecost 3.8 bilion
Yanga iko 50 boraKwa mujibu wa report za FIFA za hivi karibuni kuhusu gharama za usajili na uhamisho wa wachezaji, imeonyesha vilabu vikubwa kama Al Ahly, Mamelodi, Pyramids vikiendelea kuonyesha sababu ya wao kuwa bora huku zikiendelea kuwekeza katika kununua wachezaji wenye ubora ili kuendelea kusalia katika ubora wao.Hongera kwa vilabu hivi vikubwa, Hongera Tanzania.