Gwesefe
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 682
- 382
unaleta siasa kwenye mpira.Wana uhakika gani kama wale ni washabiki wa coast?, je kama walipandikizwa na yanga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaleta siasa kwenye mpira.Wana uhakika gani kama wale ni washabiki wa coast?, je kama walipandikizwa na yanga?
Hizi style nyingine za ushangiliaji! Utadhani team Mombasa!Wakimataifa katika ubora wao wa kulitangaza taifa kimataifa.....![]()
Hizi style nyingine za ushangiliaji! Utadhani team Mombasa!
Tanzania mashabiki Wako Tim mbili Tu wengine mbwembwe Tu,mashabiki WA yanga hatuna sababu ya kuichukia simba kwa sababu msimu huu gains madhara kwetu .labda mikia ndo wanaichukia yangaila mnaikubali kianaNinacho washangaa vyura ni chuki na simba.Mechi ilikua baina ya vyura na coast simba sisi tunaingiaje hapo?Acheni ushabiki usio na tija.