Yanga yatinga fainali ya Kombe la Mapinduzi kwa kuifunga Azam bao 4-3

Yanga yatinga fainali ya Kombe la Mapinduzi kwa kuifunga Azam bao 4-3

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Mpira umemalizika kwa matokeo kuamuliwa kwa penati ( Yanga 4- 3 Azam)

Yanga waneonyesha kiwango cha hali ya juu sana cha mchezo katika mechi ya leo

Dakika 90 timu zote zilitoshana nguvu ya bao moja kwa moja

Haruna Niyonzima amepewa zawadi ya laki tano ( 500,000) baada ya kuchaguliwa kuwa Man of the Match
 
Mzigo unaenda unguja



IMG-20210111-WA0050.jpg
 
Uto bado sana. wamepumzika siku 3 wanatoa droo na Azam iliocheza masaa 18 yaliyopita.
 
Mikia wamepata kocha
 
Back
Top Bottom