Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Mwaka huu msipobeba ubingwa hambebi tena, soka mliloonesha leo kwa Copo sio la kawaida, mbarikiwe sana wanaume nyie.
Ndio maana sikushangaa Kamwe kwenda Morocco kwenye droo, tuombe mungu mpangiwe vibonde wenu Simba muingie nusu fainal.
Kwa ushindi wa Leo Yanga wameipita Simba kwenye ranks za Caf na sasa wako nafasi ya 5 baada ya kuipomorosha Wydad.
Kweli mwaka huu mtawafunga hata shetani au malaika.