Yanga yatinga robo fainali ligi ya mabingwa kwa kuichabanga Copo mabao 5 0

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Mwaka huu msipobeba ubingwa hambebi tena, soka mliloonesha leo kwa Copo sio la kawaida, mbarikiwe sana wanaume nyie.

Ndio maana sikushangaa Kamwe kwenda Morocco kwenye droo, tuombe mungu mpangiwe vibonde wenu Simba muingie nusu fainal.

Kwa ushindi wa Leo Yanga wameipita Simba kwenye ranks za Caf na sasa wako nafasi ya 5 baada ya kuipomorosha Wydad.

Kweli mwaka huu mtawafunga hata shetani au malaika.
 
Kopo?
Ila nilijua tu lazima timu yetu itinge robo kwa kumchapa mtu kono
 
😀
 
Hongereni sana Wazee wa nyuma mwiko
 
Kwa kuweka kumbukumbu sawa, Yanga imeingia hatua ya 32 bora! Na siyo robo fainali.
 
Kama nyie mliloonyesha dhidi ya timu ya mkoa wa Kilimanjaro,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…