Yanga yatwaa ubingwa VPL msimu wa 2015 / 2016

Hongera sana kwa kocha mdachi Hans Pluijn kwa kutengeneza kikosi cha ubingwa na kuwapa nafasi wachezaji vijana (Mwaishuya,Matheo Anthony na Pato Ngonyani )
Vile vile tunawashukuru sana Simba FC kwa zawadi waliyotupa Amisi Tambwe (Asante sana Hans Pope kwa zawadi ya Tambwe)
 
Kuna uhusiano mkubwa kati ya Yanga na CCM. Wote kwa kiasi fulani wamebebwa kwenye ushindi wao.
 
Shukrani ziwaendee TFF kwa kufanikiwa kuwapa ubingwa Yanga....ubingwa uliojaa laana na dhuruma.....
 
ubingwa ulikuwa ni lazima uende jangwani. furaha zaidi iliongezeka jana baada ya simba kuupisha mchezo wa kimataifa ambao wa babe wao yanga walikuwa wanacheza. waendelee hivyo hivyo kuwa nanidhamu
 
Very sad to Simba S.S.C. Wavute subira watani zetu kwani 2017 sio mbali sana.
 
Kuna uhusiano mkubwa kati ya Yanga na CCM. Wote kwa kiasi fulani wamebebwa kwenye ushindi wao.
nikianza kufikiria kuhusu ubora wa wachezaji wenu wa kimataifa...
na nikilinganisha na ndoto na matarajio ya mashabiki wa simba, huwa naishia kucheka tu. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nguvu Zote zielekezwe kwenye Kombe la Shirikisho Afrika. Kuonesha kwamba mpo juu.
 
Kiukweli toka moyoni mwangu umenugusa sana japokuwa wewe ni wa matopeni nimecheka sana sana kuhusu hii post yako[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Klabu hii inaitwa YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB na siyo Dar Young African
 
Klabu hii inaitwa YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB na siyo Dar Young African

Mtoto tulia Young african mmeanzisha nyinyi kizazi cha Facebook. Sisi wa enzi za reli ya kati tinaijua hiyo kwa jina la Dar Young African
 
Mtoto tulia Young african mmeanzisha nyinyi kizazi cha Facebook. Sisi wa enzi za reli ya kati tinaijua hiyo kwa jina la Dar Young African
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…