Yanga yatwaa ubingwa VPL msimu wa 2015 / 2016

Yanga yatwaa ubingwa VPL msimu wa 2015 / 2016

Hongera sana kwa kocha mdachi Hans Pluijn kwa kutengeneza kikosi cha ubingwa na kuwapa nafasi wachezaji vijana (Mwaishuya,Matheo Anthony na Pato Ngonyani )
Vile vile tunawashukuru sana Simba FC kwa zawadi waliyotupa Amisi Tambwe (Asante sana Hans Pope kwa zawadi ya Tambwe)
 
Kuna uhusiano mkubwa kati ya Yanga na CCM. Wote kwa kiasi fulani wamebebwa kwenye ushindi wao.
 
Shukrani ziwaendee TFF kwa kufanikiwa kuwapa ubingwa Yanga....ubingwa uliojaa laana na dhuruma.....
 
ubingwa ulikuwa ni lazima uende jangwani. furaha zaidi iliongezeka jana baada ya simba kuupisha mchezo wa kimataifa ambao wa babe wao yanga walikuwa wanacheza. waendelee hivyo hivyo kuwa nanidhamu
 
Very sad to Simba S.S.C. Wavute subira watani zetu kwani 2017 sio mbali sana.
 
Kuna uhusiano mkubwa kati ya Yanga na CCM. Wote kwa kiasi fulani wamebebwa kwenye ushindi wao.
nikianza kufikiria kuhusu ubora wa wachezaji wenu wa kimataifa...
na nikilinganisha na ndoto na matarajio ya mashabiki wa simba, huwa naishia kucheka tu. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nachukua nafasi kuipongeza klabu ya Yanga Kwa kutwaa ubingwa wa ligi Kuu 2016/2017.Pia nawapongeza wachezaji wao Kwa kujituma muda wote wa mashindano.Shukurani za pekee ziende Tff, marefa waliofanikisha ushindi huo.Wakati Yanga inatwaa ubingwa huu UWANJA WA KISASA WA KAUNDA UMEDONDOKA .Tunamwomba Rais wa Yanga Mh.Diwani wa Mbagala Yusuf Manji kabla hajachukua fomu tena akamilishe AHADI yake ya kuuwekea NYASI ZA BANDIA uwanja huo. Mwisho nawapongeza mashabiki wa Yanga Kwa uvumilivu wao wa kuvumilia ahadi za UONGO za Rais wa Yanga Mh.Diwani Yusuf Manji.YANGA OYEE
Kiukweli toka moyoni mwangu umenugusa sana japokuwa wewe ni wa matopeni nimecheka sana sana kuhusu hii post yako[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
uploadfromtaptalk1462739972593.jpg
 
MMGL0700.jpg


Hatimaye timu ya Wananchi Dar es Salaam Young African ( Yanga ) imetwaa ubingwa wa Ligi kuu Tanzania Bara huku ikiwa na Mechi 3 Mkononi Baada ya kufikisha point 68 katika Michezo 27. Point ambazo haziwezi kufikiwa na Timu yoyote.

Yanga sasa anakuwa bingwa kwa kuweka historia ya kuchukua Kombe la ligi kuu Mara 26.
=======


Timu ya Yanga inayoshiriki ligi kuu ya Tanzania Bara leo imetwaa taji la ligi hio inadhaminiwa na kampuni ya mitandao ya simu ya Vodacom. Yanga imefanikiwa kutwaa kombe kabla ya mechi yake kutokana na timu ya Simba kukubali kipigo kutoka timu ya Mwadui hivyo haitaweza tena kufikisha alama ilizonazo Yanga.

Yanga inatwaa taji la ligi kuu kwa kufikisha alama 68 ambazo kutokana na kufungwa Simba hawatoweza kuzifikisha tena na ilikuwa ndio timu pekee ambayo ingeweza kufikisha alama hizo hivyo kuhitimisha mbio ubingwa na Yanga kufanikiwa kutwaa taji kwa mara ya pili mfululizo.


Klabu hii inaitwa YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB na siyo Dar Young African
 
Klabu hii inaitwa YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB na siyo Dar Young African

Mtoto tulia Young african mmeanzisha nyinyi kizazi cha Facebook. Sisi wa enzi za reli ya kati tinaijua hiyo kwa jina la Dar Young African
 
Mtoto tulia Young african mmeanzisha nyinyi kizazi cha Facebook. Sisi wa enzi za reli ya kati tinaijua hiyo kwa jina la Dar Young African
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom