Tate Shebughe
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 324
- 265
Hongereni yanga.!
Uungwana ni vitendo na utu uzima dawa! Tunazipokea hongera zako mtani wetu kwa niaba ya wanazi wenzako wa simba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongereni yanga.!
Uchaguzi baada ya kombe la CAFHongera Yanga..
sasa tunaenda kwenye uchaguzi
Masikini warembo hawa.!
Huyu naye vipi? Alikuwa anawanga???
Huyu naye vipi? Alikuwa anawanga???
Hongera Dada.!Nina furaha sana, Yanga rahaaaaaa kupitiliza. Naipenda Yanga mwana wa Jagwani... Wapi Simba aka paka.
#teamyangaforever#
ha ha amejificha
Umeisahau Faru dume fcratiba ya dokta mwaka ndondo cup imetoka simba wamepangwa kundi moja na watengeneza majenereta FC
[/QUOTE![]()
poleeni jamani tunashukuru kwa kushiriki
Nachukua nafasi kuipongeza klabu ya Yanga Kwa kutwaa ubingwa wa ligi Kuu 2016/2017.Pia nawapongeza wachezaji wao Kwa kujituma muda wote wa mashindano.Shukurani za pekee ziende Tff, marefa waliofanikisha ushindi huo.Wakati Yanga inatwaa ubingwa huu UWANJA WA KISASA WA KAUNDA UMEDONDOKA .Tunamwomba Rais wa Yanga Mh.Diwani wa Mbagala Yusuf Manji kabla hajachukua fomu tena akamilishe AHADI yake ya kuuwekea NYASI ZA BANDIA uwanja huo. Mwisho nawapongeza mashabiki wa Yanga Kwa uvumilivu wao wa kuvumilia ahadi za UONGO za Rais wa Yanga Mh.Diwani Yusuf Manji.YANGA OYEE
hahahahaaaUmeisahau Faru dume fc