Yanga yavuliwa ubingwa wa Kombe la mapinduzi

Yanga yavuliwa ubingwa wa Kombe la mapinduzi

Sasa mtapata kombe gani tena. Hili lilikuwa lenu, mmelipoteza kwa azam.
Kombe la ligi kuu ni la simba. Mtabidi msubiri mpaka mwakani nite ili tuone kwapa la mayele😁😁😁😁
Safari hii tumeona tuwaachie nyinyi na wadogo zenu Azam hili la mapinduzi, halafu sisi tuchukue lile la ligi kuu na hivyo kuwanyamazisha kabisa mdomo.
 
Back
Top Bottom