Yanga yavuruga vikao vya bajeti baraza la wawakilishi, hii si sawa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kulikuwa na haja gani kwa timu ya kigeni kuingilia mijadala ya Baraza la wawakilishi na kupotezea muda Wawakilishi?

Kama hilo jambo ni muhimu si waende kwao huko Dodoma, Karibu Wawakilishi wote walihudhuria mechi ya Yanga na Azam pale Aman Complex, na waliona kila kitu, Sasa kiherehere cha kupeleka kombe huko Barazani kimetoka wapi?

 
Hata kule Dodoma walishaenda na NBC na hata hilo la CRDB watalipeleka tu

Kutunza afya yako unashauriwa kwa sasa kujikita na vya chadema tu achana na Yanga.

Watoto wa uswahilini wanasemaga kama inauma vaa uende
 
Msimu wa tatu huu bado hujazoea machungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…