Ni baada ya Simba kumtumia baba mzazi kumshawishi asiongeze mkataba mpya Yanga ili mwisho wa msimu huu aondoke bure,yeye jana asain miaka2 kwa donge nono!!
Sasa ni mpaka 2018,Baba mzazi ashangaa,yeye asema hana ushabiki,pesa kwanza ushabiki uzeeni.
safi sana unajuwa simba aina viongozi bali inawaongozaji wa club mtu km hans uwezi kusema msuva ni mchezaji wenu wakati anaitumikia yangs sasa ameongeza tena mkataba
Manji mwisho wake unakaribia, anajificha yanga huku akiharibu nchi yetu, fisadi mkubwa yule amakweli Mungu hamfichi mnafiki aitishe tena huo mdahalo na Mengi tuone, Manji kanikera sana kitendo kile ni cha kiidharirisha nchi mbele ya Dunia.
mna hela nyingi zingine hadi mnapeleka kwenye uchaguzi wa CCM ili muwaangushe baadhi ya wagombea. Namsubiri Magufuli nmahawishi adili na Manji kwanza make alitaka kumwangusha!