Yanga yawakata maini Simba kwa Msuva,yamsainisha mpaka 2018!!!

Yanga yawakata maini Simba kwa Msuva,yamsainisha mpaka 2018!!!

Wonderful

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
7,347
Reaction score
5,986
Ni baada ya Simba kumtumia baba mzazi kumshawishi asiongeze mkataba mpya Yanga ili mwisho wa msimu huu aondoke bure,yeye jana asain miaka2 kwa donge nono!!
Sasa ni mpaka 2018,Baba mzazi ashangaa,yeye asema hana ushabiki,pesa kwanza ushabiki uzeeni.

attachment.php
 

Attachments

  • msuva+saini.jpg
    msuva+saini.jpg
    22.7 KB · Views: 627
"Msuva ni kijana wetu, yupo Yanga kwa kazi maalumu" - Unkown
 
safi sana unajuwa simba aina viongozi bali inawaongozaji wa club mtu km hans uwezi kusema msuva ni mchezaji wenu wakati anaitumikia yangs sasa ameongeza tena mkataba
 
Wataendelea kuimba hivyo hivyo kuwa ni mchezaji wao..yani kama mpale anavyokula ugali kwa losti la sAmaki la kwenye picha
 
Manji mwisho wake unakaribia, anajificha yanga huku akiharibu nchi yetu, fisadi mkubwa yule amakweli Mungu hamfichi mnafiki aitishe tena huo mdahalo na Mengi tuone, Manji kanikera sana kitendo kile ni cha kiidharirisha nchi mbele ya Dunia.
 
Hahaha pesa kwanza.....

mna hela nyingi zingine hadi mnapeleka kwenye uchaguzi wa CCM ili muwaangushe baadhi ya wagombea. Namsubiri Magufuli nmahawishi adili na Manji kwanza make alitaka kumwangusha!
 
Back
Top Bottom