Yanga yawazidi USM Alger kwa Takwimu za CAF

Yanga yawazidi USM Alger kwa Takwimu za CAF

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Baada ya mechi 10 za kombe la Shirikisho Afrika kwa kila timu, Yanga SC wamewazidi USM Alger kwa takwimu karibu zote miongoni mwa timu hizo:

Eneo pekee ambalo Yanga wamezidiwa ni mabao ya kufunga ( utofauti wa mabao mawili ) huku Yanga wakitawala maeneo mengine yote yaliyobaki.

Takwimu hizi ni kwa mujibu wa CAF.

Mabao ya kufunga:

Yanga 15 - USMA 17
On Target:

Yanga 47 - USMA 40

Mabao waliyoruhusu:

Yanga 05 - USMA 08

Clean Sheets:

Yanga 06 - USMA 05

Pasi:

Yanga 3204 - USMA 2515

Usahihi wa pasi:

Yanga 77% - USMA 72%

6AA01A3F-E540-45CA-A78C-C69D55F1BD40.jpeg
 
Takwimu hazichezi fainali ,fainali huwa ni undavaundava tu ukizubaa unacapwa hata kama ulikuwa na takwimu bora mno
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom