Yanga yaweka record Africa, wachezaji 14 waitwa national team

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
#Repost @officialfelixtz

Wachezaji [emoji2389][emoji2392] kutoka Young Africans [emoji1241] watapambania mataifa yao kufuzu AFCON 2025 Morocco [emoji1173]

Unambiwa haijawahi tokea Kwa club hapa Africa kufikia kutoa wachezaji zaidi ya 14 kwenda national team.......hii record iliwahi kuwekwa na mamelodi sundown tu ....na Leo imevunjwa na Yanga

1 Diara. Mali
2 Aucho..... Uganda
3 Chama zambia
4 mzize ..... TZ
5.abuya ......Kenya

6 bacca. TZ
7 Mudathiri....TZ
8 Dickson job
9. Kibabage
10 mwamnyeto
11. Musonda
12. Aziz ki
13. Dube
14 Msheri

NB: nadhani timu kubwa imeanza kujulikana[emoji23]
 
Itabidi tuandamane kupinga uzalilishaji huu!
 
Nimesikia Sheikh Mmoja akilalamika kuwa eti Yanga wanataka Mungu ashushe Malaika wacheze nao mechi ya mpira wamechoka kucheza na timu za Africa
 
Maxi Nzingeli, Pavome na Aziz ni raia wa Ulaya ama nini? Maana nasikia wanaimbwa kama wafalme huku Tz ila kwenye list siwaoni?
 
Baadae waseme Yanga ananunua mechi, wakati wana wachezaji wenye uwezo mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…