Yanga yaweka record Africa, wachezaji 14 waitwa national team

Yanga yaweka record Africa, wachezaji 14 waitwa national team

Nimesikia Sheikh Mmoja akilalamika kuwa eti Yanga wanataka Mungu ashushe Malaika wacheze nao mechi ya mpira wamechoka kucheza na timu za Africa
Hahaha .....itakuwa hatar
 
Tayari young African Bingwa wa nbc premier league , crdb cup , African football league na cafcl
 
Maxi Nzingeli, Pavome na Aziz ni raia wa Ulaya ama nini? Maana nasikia wanaimbwa kama wafalme huku Tz ila kwenye list siwaoni?
Katika hayo majina matatu, labda ni Max Nzengeli ndiyo sijashuhudia akiitwa kwenye timu yake ya Taifa ya DRC. Ila Pacome msimu uliopita aliitwa. Na huyo Aziz uliyemtaja, sijui umemaanisha Aziz Andambwile! Maana kama ni Stephane Aziz Kii, huyu amekuwa akiitwa tangu alipojiunga na Yanga.

Halafu unatakiwa utambue kuitwa kwenye timu ya Taifa kunatokana na sababu nyingi. Hakutokani na huu ushabiki wetu wa kwenye mitandao.
 
Nachukiaga sana swala la wachezaji kuitwa kwenye timu zao huku ratiba za vilabu zipo tight. Hizi mechi huzalisha injury, Aucho na Job tayari injury na tarehe 14 kuna mechi ya muhimu Ethiopia ya klabu bingwa. Mbali na hapo kuna safari za kurudi kambini kujiandaa na mechi na finyu
 
Back
Top Bottom