MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakuja ngoja uone milio yao ya simu na vizee vyao.Makolo watakwambia Africa Soccer Zone wanadhaminiwa na GSM.
Aaaah aah wanakwambia timu yao ina vijana watupu.Watakuja ngoja uone milio yao ya simu na vizee vyao.
Timu yao ilishajikatia tamaa misimu miwili iliyopita.Aaaah aah wanakwambia timu yao ina vijana watupu.
Cha ajabu vijana wao wanaweza kichwa kipindi cha kwanza tu.
Kipindi cha pili wanakata pumzi.
Ndugu zetu hawana timu.Timu yao ilishajikatia tamaa misimu miwili iliyopita.
Acha wabishe vikombe si wanabeba wao 😂Ndugu zetu hawana timu.
Na ukiwaambia hawana timu wanabisha.
Wazee wa kolowizad wataitisha press muda si mrefu kupinga Africa soccer zone kudhaminiwa na gsm, Tena watatoa siku 5 gsm ajiondoe haraka🤣🤣🤣
Kwani ata wangeweka mechi za kirafiki bado yanga alipoteza dhidi ya Augsburg ya ujerumani pekee baada ya hapo ilikuwa ni kichapo kwa kwenda mbele!Juzi niliongelea kuhusu takwimu na jinsi unavyoweza kuzitumia kwa jinsi unavyotaka wewe. Ona hapa, hizi takwimu walizotumia wameweka pembeni mechi za kirafiki kwa sababu zinaharibu data.
Bora hata Yanga mechi za kirafiki tuliziona live.Juzi niliongelea kuhusu takwimu na jinsi unavyoweza kuzitumia kwa jinsi unavyotaka wewe. Ona hapa, hizi takwimu walizotumia wameweka pembeni mechi za kirafiki kwa sababu zinaharibu data.
Ngoja makolo waje
Daah kweli we ni mbumbumbu pro max, tangu lini mechi za kirafiki wakati wa pre season zikahesabika kwenye takwimu?Juzi niliongelea kuhusu takwimu na jinsi unavyoweza kuzitumia kwa jinsi unavyotaka wewe. Ona hapa, hizi takwimu walizotumia wameweka pembeni mechi za kirafiki kwa sababu zinaharibu data.
Ingehesabiwa hiyo, ina maana rekodi ingetakiwa kuanza baada ya kile kipigo kwa hiyo Yanga isingekuwa na hiyo rekodi ndefuKwani ata wangeweka mechi za kirafiki bado yanga alipoteza dhidi ya Augsburg ya ujerumani pekee baada ya hapo ilikuwa ni kichapo kwa kwenda mbele!
Povu lote hilo la nini?Daah kweli we ni mbumbumbu pro max, tangu lini mechi za kirafiki wakati wa pre season zikahesabika kwenye takwimu?
Kuwa Simba ilipofungwa goli 6 kule Misri ilipokuwa imeweka kambi nayo itumike kwenye takwimu rasmi za Simba msimu huu?
Hujui hizi mechi ni sawa na bonanza ambapo unaweza chezesha hata wafanya usafi wa timu?
Huoni kwenye hizi mechi timu inaweza kubadilisha wachezaji wote wakati wa half time kisha wakaingia wengine, kitu ambacho hata kwenye sheria za mpira wa miguu hakipo?
Itoshe kusema wewe ni mtu asiyejua mpira kuliko mbumbumbu wengi wa msimbazi