wakimataifa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 942
- 168
Mkuu bado point 6 tu huku tuna michezo 4 mkononi zote uwanja wa taifa kasoro ya mwisho itakuwa mtwara. Yanga walichokifanya mwanzo ni kushinda mechi nyingi za ugenini kitu ambacho kimekuwa faida sana mpaka sasa. Itokee bahati mbaya sana Yanga kufungwa na timu dhaifu zilizobakiuongozi kamati ya mashindano na katibu wa baraza la wazee wasipokuwa makini yanga kukosa ubingwa.
dalili zinaonekana wazi ni kama wamelidhika na ushindi mfurulizo.
kibaya zaidi inacheza na timu zinazoshuka daraja na za kati.zile za kati zinapigiwa debe kutaka kuwa bimgwa au nafasi ya pili.
yetu macho tutaona mwisho wake
uongozi kamati ya mashindano na katibu wa baraza la wazee wasipokuwa makini yanga kukosa ubingwa.
dalili zinaonekana wazi ni kama wamelidhika na ushindi mfurulizo.
kibaya zaidi inacheza na timu zinazoshuka daraja na za kati.zile za kati zinapigiwa debe na timu zakutaka kuwa bingwa au nafasi ya pili.
yetu macho tutaona mwisho wake
Thread za namna hii zinatia kichefu chefu kuzisoma.......uongozi kamati ya mashindano na katibu wa baraza la wazee wasipokuwa makini yanga kukosa ubingwa.
dalili zinaonekana wazi ni kama wamelidhika na ushindi mfurulizo.
kibaya zaidi inacheza na timu zinazoshuka daraja na za kati.zile za kati zinapigiwa debe na timu zakutaka kuwa bingwa au nafasi ya pili.
yetu macho tutaona mwisho wake
Thread za namna hii zinatia kichefu chefu kuzisoma.......
Mkuu bado point 6 tu huku tuna michezo 4 mkononi zote uwanja wa taifa kasoro ya mwisho itakuwa mtwara. Yanga walichokifanya mwanzo ni kushinda mechi nyingi za ugenini kitu ambacho kimekuwa faida sana mpaka sasa. Itokee bahati mbaya sana Yanga kufungwa na timu dhaifu zilizobaki
Thread za namna hii zinatia kichefu chefu kuzisoma.......
uongozi kamati ya mashindano na katibu wa baraza la wazee wasipokuwa makini yanga kukosa ubingwa.
dalili zinaonekana wazi ni kama wamelidhika na ushindi mfurulizo.
kibaya zaidi inacheza na timu zinazoshuka daraja na za kati.zile za kati zinapigiwa debe na timu zakutaka kuwa bingwa au nafasi ya pili.
yetu macho tutaona mwisho wake
Sidhani kama hizo taarifa ni sahihi, kwasababu siku ambayo yanga watakuwa wanamaliza game ya mwisho na ndanda kule nangwanda mtwara, siku hiyo hiyo simba wataikaribisha timu ya jkt ruvu, sasa sijui kama hiyo inaweza kuwa taarifa sahihi.tena ndanda nackia wanakuja dar.....!kkupoteza yanga ubingwa ni sawa kusema hakuna kufa.
Sidhani kama hizo taarifa ni sahihi, kwasababu siku ambayo yanga watakuwa wanamaliza game ya mwisho na ndanda kule nangwanda mtwara, siku hiyo hiyo simba wataikaribisha timu ya jkt ruvu, sasa sijui kama hiyo inaweza kuwa taarifa sahihi.
Ila yote kwa yote yanga ndio mabingwa wapya msimu wa 2014/2015.
uongozi kamati ya mashindano na katibu wa baraza la wazee wasipokuwa makini yanga kukosa ubingwa.
dalili zinaonekana wazi ni kama wamelidhika na ushindi mfurulizo.
kibaya zaidi inacheza na timu zinazoshuka daraja na za kati.zile za kati zinapigiwa debe na timu zakutaka kuwa bingwa au nafasi ya pili.
yetu macho tutaona mwisho wake
uongozi kamati ya mashindano na katibu wa baraza la wazee wasipokuwa makini yanga kukosa ubingwa.
dalili zinaonekana wazi ni kama wamelidhika na ushindi mfurulizo.
kibaya zaidi inacheza na timu zinazoshuka daraja na za kati.zile za kati zinapigiwa debe na timu zakutaka kuwa bingwa au nafasi ya pili.
yetu macho tutaona mwisho wake
Mkuu vipi? Bado point tatu mambo yaishe......Yetu Macho.....