Yanga yaweza kuukosa ubingwa

Yanga yaweza kuukosa ubingwa

wakimataifa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
942
Reaction score
168
uongozi kamati ya mashindano na katibu wa baraza la wazee wasipokuwa makini yanga kukosa ubingwa.
dalili zinaonekana wazi ni kama wamelidhika na ushindi mfurulizo.
kibaya zaidi inacheza na timu zinazoshuka daraja na za kati.zile za kati zinapigiwa debe na timu zakutaka kuwa bingwa au nafasi ya pili.

yetu macho tutaona mwisho wake
 
kibaya zaidi inacheza na timu zinazoshuka daraja na za kati.zile za kati zinapigiwa debe kutaka kuwa bimgwa au nafasi ya pili.

yetu macho tutaona mwisho wake
Mkuu bado point 6 tu huku tuna michezo 4 mkononi zote uwanja wa taifa kasoro ya mwisho itakuwa mtwara. Yanga walichokifanya mwanzo ni kushinda mechi nyingi za ugenini kitu ambacho kimekuwa faida sana mpaka sasa. Itokee bahati mbaya sana Yanga kufungwa na timu dhaifu zilizobaki
 
uongozi kamati ya mashindano na katibu wa baraza la wazee wasipokuwa makini yanga kukosa ubingwa.
dalili zinaonekana wazi ni kama wamelidhika na ushindi mfurulizo.
kibaya zaidi inacheza na timu zinazoshuka daraja na za kati.zile za kati zinapigiwa debe na timu zakutaka kuwa bingwa au nafasi ya pili.

yetu macho tutaona mwisho wake

Hii thread ulitakiwa uilete jumatatu jioni yanga wakishamaliza mchezo wao wa 24.
 
uongozi kamati ya mashindano na katibu wa baraza la wazee wasipokuwa makini yanga kukosa ubingwa.
dalili zinaonekana wazi ni kama wamelidhika na ushindi mfurulizo.
kibaya zaidi inacheza na timu zinazoshuka daraja na za kati.zile za kati zinapigiwa debe na timu zakutaka kuwa bingwa au nafasi ya pili.

yetu macho tutaona mwisho wake
Thread za namna hii zinatia kichefu chefu kuzisoma.......
 
Mkuu bado point 6 tu huku tuna michezo 4 mkononi zote uwanja wa taifa kasoro ya mwisho itakuwa mtwara. Yanga walichokifanya mwanzo ni kushinda mechi nyingi za ugenini kitu ambacho kimekuwa faida sana mpaka sasa. Itokee bahati mbaya sana Yanga kufungwa na timu dhaifu zilizobaki

tena ndanda nackia wanakuja dar.....!kkupoteza yanga ubingwa ni sawa kusema hakuna kufa.
 
uongozi kamati ya mashindano na katibu wa baraza la wazee wasipokuwa makini yanga kukosa ubingwa.
dalili zinaonekana wazi ni kama wamelidhika na ushindi mfurulizo.
kibaya zaidi inacheza na timu zinazoshuka daraja na za kati.zile za kati zinapigiwa debe na timu zakutaka kuwa bingwa au nafasi ya pili.

yetu macho tutaona mwisho wake

Mimi Ni Mnyama Tena LIA LIA Na Hao Gongo Wazi SIWAPENDI Kama Nisivyoupenda Ugonjwa Wa UKIMWI ILA Nakupa Taarifa Tu Kuwa Iwe Isiwe Dar es Salaam Young Africans Ndiyo Mabingwa Wapya Wa VPL Na Yanga Isipokuwa Mabingwa Naahidi KUUKWEKA Kuanzia Msimbazi Mpaka Jagwani. Simba Tulijiroga Wenyewe Ktk Mechi Zile Za Awali Ambazo Tulitoa Mno Sare Na Tukaanza Kuja Kufungwa Hovyo Hovyo. Kwa Hali Ilivyokuwa Hata Hapa Tulipofikia TUMSHUKURU Sana Mwenyezi Mungu!
 
tena ndanda nackia wanakuja dar.....!kkupoteza yanga ubingwa ni sawa kusema hakuna kufa.
Sidhani kama hizo taarifa ni sahihi, kwasababu siku ambayo yanga watakuwa wanamaliza game ya mwisho na ndanda kule nangwanda mtwara, siku hiyo hiyo simba wataikaribisha timu ya jkt ruvu, sasa sijui kama hiyo inaweza kuwa taarifa sahihi.
Ila yote kwa yote yanga ndio mabingwa wapya msimu wa 2014/2015.
 
Kwani Tumebisha? Ila Super Okwinyo Hamtamsahau Maishani Mwenu.
 
uongozi kamati ya mashindano na katibu wa baraza la wazee wasipokuwa makini yanga kukosa ubingwa.
dalili zinaonekana wazi ni kama wamelidhika na ushindi mfurulizo.
kibaya zaidi inacheza na timu zinazoshuka daraja na za kati.zile za kati zinapigiwa debe na timu zakutaka kuwa bingwa au nafasi ya pili.

yetu macho tutaona mwisho wake

ndivyo alivyowadanganya mganga wenu? ...hata mroge vipi yanga ni bingwa mwaka huu mtake msitake.
 
uongozi kamati ya mashindano na katibu wa baraza la wazee wasipokuwa makini yanga kukosa ubingwa.
dalili zinaonekana wazi ni kama wamelidhika na ushindi mfurulizo.
kibaya zaidi inacheza na timu zinazoshuka daraja na za kati.zile za kati zinapigiwa debe na timu zakutaka kuwa bingwa au nafasi ya pili.

yetu macho tutaona mwisho wake

Mkuu vipi? Bado point tatu mambo yaishe......Yetu Macho.....
 
maana ya kusema vile ile mechi na stand walifanya kauzembe waliichukulia kama bonanza uliona baada ya ile mechi wachezaji walipelekwa wote kambini msiwa yanga oye oye
 
Back
Top Bottom