Yanga yazidi kubomoka kwa kuondokewa na wachezaji wake

Ukiona mgonjwa analalamika ujue sindano zinaingia [emoji2]
 
hahahahaha we jamaa kama unatia huruma ivi kwa taarifa t kmniyonzima na msuva washatia wino makaratasi msimbaz ....subiria ijumaa official anoucment wakishapewa chao kabisa Baada ya makubaliano ambayo yashafkiwa
 
Toka lini simba walimsajili mchezaji mwenye mkataba YANGA??!

Toka lini YANGA walimsajili mchezaji mwenye mkataba Simba???


Haruna hawezi chezea simba hata mbingu igeuke!!!
we jamaa urudi apa utuambie kama mbingu imegeuka
 
Simba mnaanza maneno kama haya, league inaisha mnavaa na kututisha kuwa mnakwenda FIFA kuchua point mhm..SIMBA BWANA DUH MNABOA SANA..
 
Manji ameamua kuwanyoosha kidogo wapate akili. Akirudi tena hakuna hata atakayekohoa akisema jambo! Ngoja dawa iwaingie vizuri!
 
Safi ndugu mana jamaaa anaeapotosha watu wakimataifa hatuna shaka
 
Kwakuwa ni tetesii. End of the day huwaga ni tenesi... hakuna haja ya kutokea povu jiiingi hapa msimu wa usajili utamalizika InshaAllah itafahamikaa na kama kuna umbea ndani yake ataumbuka.. ila nijuavyo mie young africans ni kubwa kuliko mchezajiiii...

Na mchezaji akishaanza kujiona yeye kekii mwachee akakliwe harusinii na kwenye birthday! Tena nyoso kasharudi kwenye game na anamsubiri mwali wake yuleeee kapelekwa msimbaziiii lol
 
Kazi ipo pale Jangwani..tuombe Mungu wasije kuvurugana tu..maana wale jamaa ni hatari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…