Yanga yazidi kubomoka kwa kuondokewa na wachezaji wake

Yanga yazidi kubomoka kwa kuondokewa na wachezaji wake

Acha kupotosha uma wewe niwaombe wahusika WA Jamii foram hii post muifute imejaa umbea tu

Kati ya wachezaji uliotaja hapo Juma abduli Ana mkataba na Yanga bado WA mwaka Mmoja

Haruna nae anaongeza mkataba na YANGA na mwenyewe kazibitisha kupitia vyombo mbalimbali vya habari

Ngoma pekee ndiyo bado yuko kwenye mazungumzo na uongozi na ikishindikana atapigwa chini

YANGA hakuna mfanya kazi anaedai hata Wiki moja mshahara hata Mmoja wewe umeyatoa wapi haya kama sio umbea na majungu tu mtoto wa kiume

Habari za fecbook unaleta huku!!
Ukiona mgonjwa analalamika ujue sindano zinaingia [emoji2]
 
Acha kupotosha uma wewe niwaombe wahusika WA Jamii foram hii post muifute imejaa umbea tu

Kati ya wachezaji uliotaja hapo Juma abduli Ana mkataba na Yanga bado WA mwaka Mmoja

Haruna nae anaongeza mkataba na YANGA na mwenyewe kazibitisha kupitia vyombo mbalimbali vya habari

Ngoma pekee ndiyo bado yuko kwenye mazungumzo na uongozi na ikishindikana atapigwa chini

YANGA hakuna mfanya kazi anaedai hata Wiki moja mshahara hata Mmoja wewe umeyatoa wapi haya kama sio umbea na majungu tu mtoto wa kiume

Habari za fecbook unaleta huku!!
hahahahaha we jamaa kama unatia huruma ivi kwa taarifa t kmniyonzima na msuva washatia wino makaratasi msimbaz ....subiria ijumaa official anoucment wakishapewa chao kabisa Baada ya makubaliano ambayo yashafkiwa
 
Toka lini simba walimsajili mchezaji mwenye mkataba YANGA??!

Toka lini YANGA walimsajili mchezaji mwenye mkataba Simba???

Haruna hawezi chezea simba hata mbingu igeuke!!!
we jamaa urudi apa utuambie kama mbingu imegeuka
 
Simba mnaanza maneno kama haya, league inaisha mnavaa na kututisha kuwa mnakwenda FIFA kuchua point mhm..SIMBA BWANA DUH MNABOA SANA..
 
Club ya Yanga imezidi kubomolewa na vvilabu vyenye nguvu ya fedha kwa sasa nchini Tanzania vilabu vya azam na simba Sc
Wachezaji ambao imesibitika kwa 100% kuwa wamemwaga wino ktk club ya simba kutokea simba ni kiungo Haruna Niyonzima, mshambuliaji Donald Ngoma naye Dudu znasema kuwa ameshamalizana na simba Sc.
Beki wa pembeni wa young Africa Juma Abdul naye amefanikiwa kunyakuliwa na Azam fc ya pale chamanzi, habari za ndani kabisa znaseme kuwa muda wowote Juma Abdul atatambuliashwa na matajiri wa Azam.
Kutoka na na kutolipwa kwa mishahara yake ya miezi minne simon msuva ameamua kuvunja mkataba na muda wowote inasemekana atavaa jezi nyekundu
Pia keeper msaidizi wa dida asubuhi tu ameshamalizana na singers Utd.
Tumejaribu kufanya mawasiliano na mkwasa amedai kuwa anayetaka kuondoka basi aende tu wao wanaweza iman kwenye soka la vijana.
Manji ameamua kuwanyoosha kidogo wapate akili. Akirudi tena hakuna hata atakayekohoa akisema jambo! Ngoja dawa iwaingie vizuri!
 
Acha kupotosha uma wewe niwaombe wahusika WA Jamii foram hii post muifute imejaa umbea tu

Kati ya wachezaji uliotaja hapo Juma abduli Ana mkataba na Yanga bado WA mwaka Mmoja

Haruna nae anaongeza mkataba na YANGA na mwenyewe kazibitisha kupitia vyombo mbalimbali vya habari

Ngoma pekee ndiyo bado yuko kwenye mazungumzo na uongozi na ikishindikana atapigwa chini

YANGA hakuna mfanya kazi anaedai hata Wiki moja mshahara hata Mmoja wewe umeyatoa wapi haya kama sio umbea na majungu tu mtoto wa kiume

Habari za fecbook unaleta huku!!
Safi ndugu mana jamaaa anaeapotosha watu wakimataifa hatuna shaka
 
Kwakuwa ni tetesii. End of the day huwaga ni tenesi... hakuna haja ya kutokea povu jiiingi hapa msimu wa usajili utamalizika InshaAllah itafahamikaa na kama kuna umbea ndani yake ataumbuka.. ila nijuavyo mie young africans ni kubwa kuliko mchezajiiii...

Na mchezaji akishaanza kujiona yeye kekii mwachee akakliwe harusinii na kwenye birthday! Tena nyoso kasharudi kwenye game na anamsubiri mwali wake yuleeee kapelekwa msimbaziiii lol
 
Kazi ipo pale Jangwani..tuombe Mungu wasije kuvurugana tu..maana wale jamaa ni hatari!
 
Back
Top Bottom