Yanga yazindua ofisi zake kwenye makao makuu ya klabu

Yanga yazindua ofisi zake kwenye makao makuu ya klabu

Unaelewa maana ya majungu. Kuna tofauti gani ya CEO wa Simba kujivunia kuzindua WhatsApp na yanga kujivunia kuzindua ofisi
Maswala ya whatsApp ya simba yametoka wapi mbona unahamisha magoli
Simba wamekodi ofisi na wanalipa mamilion kwa mwezi huku yanga wakiamia kwenye jengo lao wanasave fedha hawalipi tena mamilion ya fedha kama rent
Wanahitaji pongezi
 
Unaelewa maana ya majungu. Kuna tofauti gani ya CEO wa Simba kujivunia kuzindua WhatsApp na yanga kujivunia kuzindua ofisi
Kama ni kweli timu iliyoanzishwa mwaka 1936 mpaka leo haina jengo kwa ajili ya ofisi yake binafsi! Na badala yake viongozi wamepanga, huku walipa mamilioni ya shilingi kila mwezi kwa ajili ya pango; basi utakuwa huna haki ya kuwakosoa.
 
Back
Top Bottom