Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 2,223
- 3,961
Ofsi yenyewe kama makao makuu ya ccm, hapo ndo mnapo tuchosha sana.tumezindua ofisi yetu ya hadhi na yenye vifaa vyote vya kisasa,vya kufanyia kazi.hii ndio maana ya kauli ya tumewaacha mbali sana.hivi karibuni tunazindua ujenzi wa uwanja wa yanga
View attachment 2897200
Yanga ilianza mwaka 1935 kabla ya ccmOfsi yenyewe kama makao makuu ya ccm, hapo ndo mnapo tuchosha sana.
soma historia kwanza kabla ya kujambajambaOfsi yenyewe kama makao makuu ya ccm, hapo ndo mnapo tuchosha sana.
Unaelewa maana ya majungu. Kuna tofauti gani ya CEO wa Simba kujivunia kuzindua WhatsApp na yanga kujivunia kuzindua ofisiUnaongea huku simba ikiwa imekodisha ofisi acha majungu sio mtaji
Maswala ya whatsApp ya simba yametoka wapi mbona unahamisha magoliUnaelewa maana ya majungu. Kuna tofauti gani ya CEO wa Simba kujivunia kuzindua WhatsApp na yanga kujivunia kuzindua ofisi
Kama ni kweli timu iliyoanzishwa mwaka 1936 mpaka leo haina jengo kwa ajili ya ofisi yake binafsi! Na badala yake viongozi wamepanga, huku walipa mamilioni ya shilingi kila mwezi kwa ajili ya pango; basi utakuwa huna haki ya kuwakosoa.Unaelewa maana ya majungu. Kuna tofauti gani ya CEO wa Simba kujivunia kuzindua WhatsApp na yanga kujivunia kuzindua ofisi
Simba ata iyo ofisi ya kuzindua wanayo?Unaelewa maana ya majungu. Kuna tofauti gani ya CEO wa Simba kujivunia kuzindua WhatsApp na yanga kujivunia kuzindua ofisi
HawanaSimba ata iyo ofisi ya kuzindua wanayo?