Tumbo Tumbo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 1,278
- 1,553
Iwe kwa ushirikina, kwa kutembeza bakuli kuomba michango, kwa fitina, kwa mpira mbovu, kwa mpira safi, kwa maombi ya makanisani na msikitini, sisi tunachotaka ni point tatu tu, na tunazipata, taratibu mpaka tunachukua Ubingwa. Sisi ndio Yanga, na kauli yetu ni mbele daima, nyuma kwetu mwiko.Hata kuchangia sidhani kama watajitokeza maana kila kona wamebanwa, mfano wewe ungekuwa shabiki wa simba ungesema kipi cha kuleta matumaini?
Wenzio ni kikosi kipana, usajiri mkubwa, jina kubwa, bata uturuki, akaunti zinasoma, mpaka sasa hata tukisema tuwasubiri wamalize viporo vyote bado tunawaacha pakubwaIwe kwa ushirikina, kwa kutembeza bakuli kuomba michango, kwa fitina, kwa mpira mbovu, kwa mpira safi, kwa maombi ya makanisani na msikitini, sisi tunachotaka ni point tatu tu, na tunazipata, taratibu mpaka tunachukua Ubingwa. Sisi ndio Yanga, na kauli yetu ni mbele daima, nyuma kwetu mwiko.
Kimbuka pia kama utaacha point kwa simba na azam30 kwa 47 difference 17!! Simba Wakishinda tunashinda, Wakitoa sare Nasi tunatoa sare, Wakifungwa sisi tutaendelea tuuh....!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
.....
Yanga hii kama hawana njaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Azam msimu uliopita mechi ya raundi ya kwanza kafa sebuleni kwao.unaweza kumfunga Azam Chamanzi??? raundi ya pili walitupiga timu ilishapoteza muelekeo..kukamilisha ratibaKimbuka pia kama utaacha point kwa simba na azam
Ule upepo na bahati vimeisha,sasa hivi kuna kisingizio cha Azam na Mikia?Kimbuka pia kama utaacha point kwa simba na azam
Hicho Kikosi kipana, nani kakipanua?Wenzio ni kikosi kipana, usajiri mkubwa, jina kubwa, bata uturuki, akaunti zinasoma, mpaka sasa hata tukisema tuwasubiri wamalize viporo vyote bado tunawaacha pakubwa
Huu ndio ukweli sasa. Hawana cha kuongea sababu Mikoani ndio huko nako tunawanyoosha watu.Hata kuchangia sidhani kama watajitokeza maana kila kona wamebanwa, mfano wewe ungekuwa shabiki wa simba ungesema kipi cha kuleta matumaini?
Mlivyokuwa mnasema kikosi kipana mlimaanisha nini?, au nani alikipanua?, msianze kukataa kauli zenu baada ya kuona upana hauna tijaHicho Kikosi kipana, nani kakipanua?
Story zao tu. Wasuburi Nkana ananyoshe.
Waache nkana awazibe domo na huku viporo vimemwagwa dampoHicho Kikosi kipana, nani kakipanua?
Story zao tu. Wasuburi Nkana ananyoshe.
Yaani. πππ Hebu sema ukweli kabisa na Mikia je?Yanga ni maskini anayeishi kwa furaha sana.
Tuko pamoja sibonike, kwenye Quote yako ya hapo juu isikupe shida nilikusudia kukuunga mkono ikatokea kama nakujibu wewe.Sibonike ni Yanga mwenzetu ujue.
Kama ulivyoacha point kwa MbaoKimbuka pia kama utaacha point kwa simba na azam