Yanga Yenye Njaa

Yanga Yenye Njaa

Tumbo Tumbo

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
1,278
Reaction score
1,553
30 kwa 47 difference 17!! Simba Wakishinda tunashinda, Wakitoa sare Nasi tunatoa sare, Wakifungwa sisi tutaendelea tuuh....!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
.....
Yanga hii kama hawana njaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hata kuchangia sidhani kama watajitokeza maana kila kona wamebanwa, mfano wewe ungekuwa shabiki wa simba ungesema kipi cha kuleta matumaini?
Iwe kwa ushirikina, kwa kutembeza bakuli kuomba michango, kwa fitina, kwa mpira mbovu, kwa mpira safi, kwa maombi ya makanisani na msikitini, sisi tunachotaka ni point tatu tu, na tunazipata, taratibu mpaka tunachukua Ubingwa. Sisi ndio Yanga, na kauli yetu ni mbele daima, nyuma kwetu mwiko.
 
Wenzio ni kikosi kipana, usajiri mkubwa, jina kubwa, bata uturuki, akaunti zinasoma, mpaka sasa hata tukisema tuwasubiri wamalize viporo vyote bado tunawaacha pakubwa
 
30 kwa 47 difference 17!! Simba Wakishinda tunashinda, Wakitoa sare Nasi tunatoa sare, Wakifungwa sisi tutaendelea tuuh....!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
.....
Yanga hii kama hawana njaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kimbuka pia kama utaacha point kwa simba na azam
 
kuna ma-done pale ila hawataki kujitangaza hadhalani wakihofia kuanza kufatilia Mali zao biashara zao na TIYARAHEI unajua tena matajiri wetu ki-bongo bongo na kasumba ya utakatishaji wa fedha
 
Kimbuka pia kama utaacha point kwa simba na azam
Azam msimu uliopita mechi ya raundi ya kwanza kafa sebuleni kwao.unaweza kumfunga Azam Chamanzi??? raundi ya pili walitupiga timu ilishapoteza muelekeo..kukamilisha ratiba
 
Hicho Kikosi kipana, nani kakipanua?
Story zao tu. Wasuburi Nkana ananyoshe.
Mlivyokuwa mnasema kikosi kipana mlimaanisha nini?, au nani alikipanua?, msianze kukataa kauli zenu baada ya kuona upana hauna tija
 
Mimi kuna kitu nasubiri pale mkia fc....watakapo anza kuchapana viboko na kutimuana ........ndo kawaida yao....nisawa na kua tajiri alaf ndani ya nyumba kuna mifarakano ya ndoa ...hahahaaaa
 
Back
Top Bottom