koboG
JF-Expert Member
- Apr 3, 2016
- 2,763
- 5,167
Pole kwa maumvi wanayanga wenzangu mimi nachona tumfuke Ally Kamwe, Manara arudi kundini afu Eng.Haris abadilishiwe majukum arudi akasimamie makampuni ya GSM hapa tutakua tumeula
Nb:
Hii mbini ya kudhamini team za ndani haitusaidii tuachane nayo inaficha udhaifu wetu tunazidi kuifanya simba kua imara
Nb:
Hii mbini ya kudhamini team za ndani haitusaidii tuachane nayo inaficha udhaifu wetu tunazidi kuifanya simba kua imara