Yanga yetu yatoa tamko juu ya uwanja

Yanga yetu yatoa tamko juu ya uwanja

Song il gok

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2015
Posts
878
Reaction score
938
Uongozi wa Yanga Yetu unasikitishwa na kitendo cha baadhi ya watu kuvujisha na kusambaza picha za stadium concept “Uwanja” bila idhini yao. Yanga yetu bado ipo kwenye mchakato wakuidhinisha moja kati ya michoro miwili ya uwanja unaotarajia kujengwa hivi karibuni.

YANGA YETU
 
ivi si wameambiwa waweke wazi mkataba walioingia
 
HIVI HAO TFF WANAWEKA MIKATABA WALIYOINGIA NA WABIA WAO KWA KLABU???? MBONA WANAPOULIZWA KUHUSU MIKATABA HIYO HUWA WAKALI NA HUSEMA KUWA MIKATABA HIYO HAZIWAHUSU KLABU??????
 
Mikataba inatangazwa wazi au wanaohusika wanatakiwa kuifuata na public kupewa taarifa ya maendeleo ya mkataba tuu
HIVI HAO TFF WANAWEKA MIKATABA WALIYOINGIA NA WABIA WAO KWA KLABU???? MBONA WANAPOULIZWA KUHUSU MIKATABA HIYO HUWA WAKALI NA HUSEMA KUWA MIKATABA HIYO HAZIWAHUSU KLABU??????
 
Malinzi alionesha mkataba wa ofisi kuhamia posta?!
HIVI HAO TFF WANAWEKA MIKATABA WALIYOINGIA NA WABIA WAO KWA KLABU???? MBONA WANAPOULIZWA KUHUSU MIKATABA HIYO HUWA WAKALI NA HUSEMA KUWA MIKATABA HIYO HAZIWAHUSU KLABU??????
 
HIVI HAO TFF WANAWEKA MIKATABA WALIYOINGIA NA WABIA WAO KWA KLABU???? MBONA WANAPOULIZWA KUHUSU MIKATABA HIYO HUWA WAKALI NA HUSEMA KUWA MIKATABA HIYO HAZIWAHUSU KLABU??????

mi nafikiri waweke yao kwanza mezani ndo waje wahoji hii ya club
 
Ni kitu gani? Kama ni prototype, wala hazina issue kiivyo, its a concept design ambayo ni kama picha tu wala haina haja ya mtu kuona imehujumiwa. Inakua kama picha tu. Ni vibaya kuitumia kujengea, lakini kuiangalia tu kama picha sidhani kama ni issue
 
Ni issue. Nadhani isingetakiwa kwenda public kabla hawajaamua ndani
Ni kitu gani? Kama ni prototype, wala hazina issue kiivyo, its a concept design ambayo ni kama picha tu wala haina haja ya mtu kuona imehujumiwa. Inakua kama picha tu. Ni vibaya kuitumia kujengea, lakini kuiangalia tu kama picha sidhani kama ni issue
 
Ni kitu gani? Kama ni prototype, wala hazina issue kiivyo, its a concept design ambayo ni kama picha tu wala haina haja ya mtu kuona imehujumiwa. Inakua kama picha tu. Ni vibaya kuitumia kujengea, lakini kuiangalia tu kama picha sidhani kama ni issue

Sio issue kweli... lkn nadhani kila Company inataratibu zake. uwezi jua kutoka kwake kunawezaje kuathiri maamuzi juu ya huo uwanja.
 
Back
Top Bottom