Kama alivyo ongea Akilimali ... Yanga ni kubwa kuliko Manji ..Kwann azireeeee
Ila nimsema ukweli ... Deni la Yanga bil 11.6 .... Manji amewakopesha lini hizo hela?Hako kazee ka akilimali nikanafiki hakuna mfano, tena ako bila yanga hakapo duniani, kazee kanakula sana hela za klabu inasemekana nikachawi balaa
Shangaa na ww ukipiga mahesabu kwa miaka 10 yanga watalipa billion 1 kila mwakaIla nimsema ukweli ... Deni la Yanga bil 11.6 .... Manji amewakopesha lini hizo hela?
Wapuuzi wote yan hii yanga ni timu ya kipuuzi na wenye timu ni wapuuzi na washabiki ni wapuuuuShangaa na ww ukipiga mahesabu kwa miaka 10 yanga watalipa billion 1 kila mwaka
Hako kazee ka akilimali nikanafiki hakuna mfano, tena ako bila yanga hakapo duniani, kazee kanakula sana hela za klabu inasemekana nikachawi balaa
Anazira kama lipumba tenaPress Conference
Mwenyekiti wa Yanga Bw Yusuf Manji atazungumza na waandishi wa vyombo vya habari vya michezo leo ijumaa 21/10/2016, saa saba na nusu mchana, makao makuu ya club ya Yanga jangwani.
Wote mnakaribishwa.
Imetolewa na Uongozi wa Yanga makao makuu.
21/10/2016
Ha ha ha kamesema ukweli.. Hatuwezi ikabidhi timu kwa kampuni hewaHako kazee ka akilimali nikanafiki hakuna mfano, tena ako bila yanga hakapo duniani, kazee kanakula sana hela za klabu inasemekana nikachawi balaa
ni wapuuzi lakini si mbumbumbu,upuuzi tutaacha vipi kuhusu umbumbumbu mlionao?Wapuuzi wote yan hii yanga ni timu ya kipuuzi na wenye timu ni wapuuzi na washabiki ni wapuuuu