Yanga

bonijona

Member
Joined
Dec 4, 2016
Posts
5
Reaction score
0
Timu ya Yanga imeanza kuidai tff milioni 420 Ilizozikata je tff wawape ama wawanyime
 
Timu ya Yanga imeanza kuidai tff milioni 420 Ilizozikata je tff wawape ama wawanyime
kama wana mkataba walioingia na azam tv watalipwa kama hawana mkataba basi waSILIPWEEE WAFEEEE NJAAA HAWA VYURAAAA!
 
Wawalipe tuu ili walipe mishahara wachezaji. Ni aibu "wakimataifa" kushindia mihogo
 
Reactions: PNC
Hela za Yanga, lakini pressure wanapata wengine.
 
ivi ni kweli wanashindia mihogo na maji ya kunywa.....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…