Yanga

Yanga

bonijona

Member
Joined
Dec 4, 2016
Posts
5
Reaction score
0
Timu ya Yanga imeanza kuidai tff milioni 420 Ilizozikata je tff wawape ama wawanyime
 
Wawalipe tuu ili walipe mishahara wachezaji. Ni aibu "wakimataifa" kushindia mihogo
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hela za Yanga, lakini pressure wanapata wengine.
 
ivi ni kweli wanashindia mihogo na maji ya kunywa.....!!
 
Back
Top Bottom