Yangaaa..... Kombe liko palepale...

Yangaaa..... Kombe liko palepale...

eddy27

Member
Joined
Aug 10, 2016
Posts
25
Reaction score
19
Yanga bado wana nafasi yakufuzu hatua inayofata,mfano mechi ijayo Mo Bejaia na Medeama wakimpiga refa timu zote mbili zikatolewa mashindanoni inabaki Yanga na Tp Mazembe ndio wanafuzu hatua inayofata
 
Hizi kejeli zitaisha siku tukimkamata Simba Koko Taifa. Unajua mume kurudi na ngeu nyumbani sio jambo la kichekesho, alikoenda kutafuta ndiko alikong'atwa na nyigu. Sasa si mmeshamaliza usajili wenu wa magazetini, ...tanua paja, mkwaju waja
 
Matokeo ya Mazembe vs medeama ngapi ngapi?
 
Yanga bado wana nafasi yakufuzu hatua inayofata,mfano mechi ijayo Mo Bejaia na Medeama wakimpiga refa timu zote mbili zikatolewa mashindanoni inabaki Yanga na Tp Mazembe ndio wanafuzu hatua inayofata
Labda Yanga wamtafute mshana jr awasaidie kuwapa ndumba na mavumba ili hilo usemalo litokee.
 
Back
Top Bottom