Yani ajira 1,596 zimeombwa na watu 135,027, aiseeeee. Vijana tafuteni ya kufanya lasivyo mtaingia katika wimbi la msongo na uraibu

Yani ajira 1,596 zimeombwa na watu 135,027, aiseeeee. Vijana tafuteni ya kufanya lasivyo mtaingia katika wimbi la msongo na uraibu

mimi niwaswalike hizi shule na vyuo vyetu zinatoa wahitimu wangapi kwa mwaka na nafasi za ajira mpya zinazotengenezwa kwa mwaka ni ngapi?
 
Hapo wapo wengi wana ajira zao tena serikalini ila tamaa inawaongoza kuwazibia nafasi jobless
 
Back
Top Bottom