unataka kutuambukiza wivu wako?? hizo pesa ni zao au za umma?? kama zao kinakuwasha nini?? tafuta zako nawewe kanunue hata ya mil. 400 maendeleo ndo yako ivo sio unaanza kuponda..unadhani wangenunua magari hayo kama hawana hela???kenge wee...unawaza kwa kutumia masaburi eehh!!
mbona ray kwenye blog yake kaandika kanunua gari ya milion 60-hizi 200 zimetoka wapi tena-
Acha wivu....
naona umeamua kumjaza hasira na wivu zaidi kwa njia ya picha,atapasuka,lol!!Hii ni ya RAY.
Wadau nawashukuru sana kwa kuweza kunipa ushauri na kuniunga mkono kwenye kazi zangu na kufika hapa nilipo huu ni usafiri wangu mpya hii yote ni nyinyi wadau kwa kuweza kununua kazi zangu original na sio feki nawashukuru sana na pia namshukuru Mungu wangu maana yeye ndiye kila kitu waandishi sio scandle tu na mafanikio pia muyaandike
akili ni nywele,kila mtu anazake!
Weka heshima baa, magari kwanza yanapinduka.
naona umeamua kumjaza hasira na wivu zaidi kwa njia ya picha,atapasuka,lol!!
kama ni kweli hongera zao, hatuwezi kujadili maamuzi ya mtu wakati ela ametafuta mwenyewe hivyo akiweza kulitunza au asiweze hayo yote ni yake binafsi.
Eti kila mmoja kanunua gari la mil 200 yale yaliyowashinda wabunge, hawa jamaa zimo kweli? Hawajawa bado masuper star ndo hivo je wakiwa? Ulimbukeni bwana ni kitu kibaya sana, wao wanaona washamaliza kila kitu kumbe ndo kwanza safari ndo inaanza...vilaza sana hawa jamaa