COMPLICATOR2011
JF-Expert Member
- Jul 13, 2011
- 253
- 35
Kwani wewe umenunua hiyo cm ya mtandao ni hadhi yako? acha wivu mtoto wa kiume/ke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka 2011 ulimbukeni na ukilaza ulikua ni kununua gari ya ml 200.
VpMbongo utamgundua tu kwa vile wewe huna basi unaona wao vilaza.
Acha wivu wa kike huo
Kumbe haya maswali yameanza kitambomajungu..jinsia yako plz we ni me/ke?
Hapa natafuta comment ya wale jamaa wa kusema Tafuta pesaRoho ya kwa nini,wangenunua PORSCHE na FERARI je?da wivu mbaya