Yani hawa Ray na Kanumba ni vilaza kweli

Kwani wewe umenunua hiyo cm ya mtandao ni hadhi yako? acha wivu mtoto wa kiume/ke
 
nimeiona picha ya gari la kanumba kwenye blog yake kanumbathegreat.blogspots.com.ile gal hawez tembelea bali kwa ajili ya kuigizia coz hana hela ya kuilisha mafuta v8
 
Na wewe jitahidi kuchanga ununune lako.... Je angenunua pikipiki ungesemaje?
 
mbona mimi kule kijijini nyumba yetu ni ya udongo na nyasi na hata baba yangu haujui mkate lakini mjini nina Ghorofa na naendesha Vogue na pia vyakula nasaza na mbwa wangu wana special det kutoka supermarket,haya mambo ya kawaida bana,kwanza huko kijijini siendi toka nimekuwa superstar ,nikarogwe yoh men,hata marafiki sitawapeleka huko na nikifa nitazikwa makaburi ya Kinondoni bana.
 
Kumbuka Wahenga walinena: Mchumia juani hulia kivulini, kwa kuwa wamechumia kivulini na kujinyima hadi kupata hizo 200 m hakuna tatizo kama watajipongeza kwa kutumia kama mifuko wao unavyoruhusu.
 
Mwaka 2011 ulimbukeni na ukilaza ulikua ni kununua gari ya ml 200.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…