Ajira za jeshi ni nyingi duniani.
unaweza kupata enlistment ktk jeshi la UK,commonwealth citizen unakuwa enlisted umri chini ya miaka 28. ila utaanza kama private then baadaye ukibahatika unaweza kupata commision na kwenda sundhurst
2-Jeshi la ufaransa wanaajiri pia ktk French Foreign Legion ,umri usizidi 40yrs.siyo lazima utumie jina lako halisi,kunakitu wanakiita Assumed Identity.masharti makubwa ni kuwa unatumikia kwa miaka 5 minimum,halafu unaruhusiwa kuoa ,kununua gari/nyumba etc.hawa jamaa ni watu wa vita/military campaigns almost kila mwaka.
-
vigezo vya majeshi niliyotaja hapo juu ni
-uweze kukimbia 2km ktk dakika 13
-uwezo wa kubeba 45kg
- Akili timamu
-unaweza kusoma na kuandika
-unafundishika
-----French legion-er siyo lazima ujue kifaransa or kingereza,hata kama unaongea kimatumbi watakuchukua wakiridhika alafu unapigwa darasa la kifaransa