Utakuwa na mapepo ya 3D (waswahili wanaita KIMAVI) , njoo PM tukupe ubani!!!Nachukizwa Sana na hili jambo sidhani Kama wewe lishawahi kukükuta kila nikiwa kwenye foleni ikifika zamu yangu Mtoa huduma ndio ana nyanyuka na kuondoka
Nimefanya risechi iwe ni
Hospital
Bank
Kanisani mikate inaisha
kila penye foleni nikifikiwa Mimi ndio Jamaa anasepa
Pengine bila hata sababu ya msingi
Wewe je?
Naumia Sana
mh mh mh shehe yahayauna nyota ya kupuuzwa na kudharauliwa, inabidi upate pete yenye kito cha quartz blue
Sent using Jamii Forums mobile app
nimecheka ghafla tena kwa ngv hahhahaahaUtakuwa na mapepo ya 3D (waswahili wanaita KIMAVI) , njoo PM tukupe ubani!!!
😂😂😂😂😂💪💪💪🗺🗺🗺 au avae pete yenye madini ya tanzanite
Ahahaaa wanamaliza minofu na kukuacha mifupa au michuzi wa dahaaInakera sana hii kitu. Tena ikiwa foleni ya chakula msosi unaisha.