ngongoti2000
JF-Expert Member
- Nov 20, 2017
- 2,236
- 2,142
Vipi foleni ya toilet kwenye vyoo vya umma ? nini kinaisha/kinasepa mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemaliza yote bab,KUJIKUBALI!KUJIKUBALI ndio kila kitu,kanuni ga maisha inasema wewe upo kama ulivyo kutokana na mawazo unayoyawaza."change your thinking,change your life".teh..teh...teh...sijui nianzaje lakini wacha nichangie nipakapofikia ila usichukie ikiwa ukikutana na ukweli.
zipo nyingi lakini muhimu jiamini na jikubali na mambo yatakwenda sawa.
- kwanza anza kujikubali wewe mwenyewe na uelewe kuwa wewe si mtu wa kawaida umebwa tofauti na mwingine kama tunavyosema kwenye management kuwa kila binadamu yuko tofauti na katika kuliona hili usipende kuangalia udhaifu wako bali angalia uwezo wako na thamani yako.
- umejikataa na sasa inawezekana kabisa umeanza kujenga mazingira ya watu kukukataa ussikubali hali hii chochote kinachotokea kubali ni kwa bahati mbay zamu yako ipo na wewe ni wakupata sio kukosa.
- ipo hali ya malalamiko kwako pia ambayo inawezekana ilianza toka utoto wako na umekuwa nayo inawezekana ulikuwa mdogo hivyo wakubwa zako walikuwa wanakuonea au ulikuwa mkubwa na peke yako kwa muda mrefu mfano kupishana umri mkubwa na mdogo wako na anapokuja wazazi wanakata ghafla upendo kwako na kukubebesha maumivu ambayo unakuwa nayo.
- ipo changamoto pia wakati wa utoto kumtegemea mtu fulani inawezekana mzazi mmoja kwa kuwa yeye ndiye mtetezi wako na ikatokea akafariki na ukaona umekosa mtetezi na hata unapokuwa mtu mzima bado unakutana na changamoto ya kutojiamini.