Yani mtumishi wa Serikali hakai ofisini anaenda kuuza sura

Muda wa kazi mtu anaenda kwa mademu na gari ya serikali anapaki anapiga stori kwenye ofc ya dem.Huyu bro anahujumu serikali wakemewe watu wa kariba yake.Picha sibora sana ila ujumbe huo.
WACHA ALE MAISHA KWA UREFU WA KAMBA YAKE
 
Muda wa kazi mtu anaenda kwa mademu na gari ya serikali anapaki anapiga stori kwenye ofc ya dem.Huyu bro anahujumu serikali wakemewe watu wa kariba yake.Picha sibora sana ila ujumbe huo.
Ni ESITIELO NGAPINGAPI?Penzi kitovu cha uzembe na uzururaji.😂😂😂😂
 
Huyo ni binadamu kama wewe,hiyo gari hapo wala siyo ya serikali ni mradi flan yaani ya shirika flan,lakini pia ukikaa Dodoma magari kama hayo utayaona mengi sana kuabzia saa2 asubuhi watu wanatafuna supu , utapiga picha mangapi ila huko kwenu umeona kitu kigeni,huyo ni afisa mkuu hapo yupo kazini siyo kama ww na mimi
 
huyo ni ngoswe.

Mkuu ulitakiwa upige vizuri hiyo picha ili mamlaka ziweze kumsaidia vizuri huyo dereva.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…